karibu kituo cha nishati

KITUO CHA NISHATI MBADALA KATA YA OLDONYOSAMBU:karibu kupata huduma ya nishati mbadala kituoni,mifumo ya paneli za umeme jua; saizi tofauti tofauti:-SOLATA inayochaji simu,TOCHI inayochaji betri. MGAHAWA KUTUMIA MAJIKO SANIFU,HUDUMA ZA COMPUTER,MAJIKO SANIFU NA BANIFU:-jiko janja,kapu la ajabu,MITI MICHE YA AINA MBALIMBALI INAPATIKANA:-parachichi, mibono,albizia, groton,moringa, markhmla, na mingineyo. MITAMBO YA GESI, SABUNI ZA MBONO JATROPHA, na USHAURI KEM KEM WA KUTOKA KWA MAMA NISHATI.

OUR CONTACTS/MAWASILIANO:

MAWASILIANO ZAIDI
Mhudumu wa kituo anapatikana kituoni kila siku za
jumatatu hadi jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 11: 00 jioni.
Kituo cha Nishati Kata ya Ngarenanyuki karibu na ofisi ya kata
Simu: 0758848482
 Email:cercoldonyosambu@gmail.com


0758848482